Siha Njema

Uzazi wa Mpango:Wanaume wajitolea kufanya upasuaji wa mirija -Vasektomia

Informações:

Sinopsis

Vasectomy ni njia ya  kupanga uzazi ambayo  inahusisha upasuaji wa mshipa unaopitisha mbegu za kiume, ili mme asiweze kumpachika mke mimba. Ni njia ya upangaji uzazi ya milele.Na pengine unajiuliza hili linafanyiikaje na ina athari gani kwenyen afya ya mwanaume ?Sikiliza makala haya