Jua Haki Zako

Unyanyasaji na kunyimwa haki kwa wanawake katika biashara za kimataifa

Informações:

Sinopsis

Licha ya kuongezeka kwa idadi ya wanawake wanaojihusisha na biashara za kimataifa nchini Kenya, wengi wao bado wanakumbana na changamoto kubwa,ikiwemo kudhalilishwa, ubaguzi wa kijinsia na kunyimwa haki zao za msingi wanapojaribu kuingia au kushindana katika masoko ya nje. Katika maeneo ya mashambani hadi mipakani, wanawake hawa wanapambana si tu kukuza biashara zao, bali pia kupigania heshima na nafasi sawa katika soko la kimataifa. Makala haya yanaangazia wanawake hao.