Mada hii inazungumzia yanayo letwa na mwzi wa ramadhani,na ushindi ulio patikana katika mwezi wa ramadhani,na yanayo paswa kufanywa katika mwezi wa ramadhani,na sharti ya ushindi.
Mada hii inazungumzia haki za mume na haki za mke katika maisha yandoa kwamtizamo wa sheria ya kiislam.
Vipindi vyetu vinajaribu kuwahamasisha wasikilizaji wetu vinazungumzia masuala ya afya katika jamii
Katika mfululizo wa vipindi vyetu utapata fursa ya kujifunza kuhusu masuala ya uchumi na biashara pamoja na mazingira.
Kupitia vipindi vyetu tunajaribu kuwahamasisha vijana wa Afrika kuhusu elimu ya jamii. Inasaidia kuyafanya maisha yao kuwa rahisi.
Mada hii inazungumzia mwelekeo wa mwanadamu na uwajibu wa kujitambua,na udhalili wa mwanadamu,na udanganyifu wa dunia.
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari...
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na...
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar...