Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari 28 Februari 2023

Informações:

Sinopsis

Serikali ya shirikisho imetangaza mageuzi ya ushuru kwenye salio la juu ya malipo ya uzeeni. Kuanzia mwaka wa fedha wa 2025/2026, salio la zaidi ya dola milioni tatu, itatozwa ushuru wa 30% kutoka kiwango cha sasa cha ushuru wa 15%.