Sbs Swahili - Sbs Swahili

Sinopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodios

 • Vizuizi vya COVID-19 vyaregezwa jimboni Victoria wakati visa vya maambukizi vya pungua

  Vizuizi vya COVID-19 vyaregezwa jimboni Victoria wakati visa vya maambukizi vya pungua

  20/10/2020 Duración: 08min

  Serikali ya Victoria imetoa tangazo muhimu lakuregeza vizuizi vya COVID-19 katika jiji la Melbourne na kanda ya Victoria.

 • Taarifa ya habari 20 Oktoba 2020

  Taarifa ya habari 20 Oktoba 2020

  20/10/2020 Duración: 15min

  Serikali ya shirikisho yahamasisha serikali zamajimbo namikoa, ziwekeze zaidi katika miradi ya makazi ya jamii.

 • Cherehani zilizo tolewa kwa hisani, zasaidia wasichana wa Kenya katika elimu

  Cherehani zilizo tolewa kwa hisani, zasaidia wasichana wa Kenya katika elimu

  19/10/2020 Duración: 06min

  Msaada kutoka Australia unawasaidia wanawake wasio jiweza nchini Kenya kukababiliana na janga hili na, msaada huo umechangia pia katika upatikanaji wa matokeo mengine yakushangaza.

 • Makundi ya waumini yaomba vizuizi vichache kwa ibada

  Makundi ya waumini yaomba vizuizi vichache kwa ibada

  18/10/2020 Duración: 05min

  Waumini ambao wame zuiwa kujumuika katika sehemu za ibada wakati wa vizuizi jijini Melbourne, wameomba wahudumiwe vizuri zaidi katika hatua ijayo yakuregezwa kwa vizuizi.

 • Taarifa ya habari 18 Oktoba 2020

  Taarifa ya habari 18 Oktoba 2020

  18/10/2020 Duración: 15min

  Wakazi wa jimbo la Victoria waregezewa vizuizi kwa jiji la Melbourne na maeneo yakanda.

 • Swahili News October 10 - Taarifa ya Habari Octoba 10

  Swahili News October 10 - Taarifa ya Habari Octoba 10

  13/10/2020 Duración: 14min

  The search for the missing person resume while The International Council of Nurses says many nurses are suffering psychological distress - Utafutaji wa aliyepotea baharini waendelea huku Baraza la Wauguzi ladai, wauguzi wengi wanasumbuliwa kisaikolojia 

 • Huduma maalum ya afya ya akili kutolewa katika lugha za wagonjwa

  Huduma maalum ya afya ya akili kutolewa katika lugha za wagonjwa

  07/10/2020 Duración: 09min

  Wa Australia kwa sasa wataweza anza kupokea msaada wa afya ya akili, kutoka kwa mtu anaye zungumza lugha yao au anaye changia tamaduni nao au dini chini ya mradi mpya.

 • Biashara ndogo zinazo tafuta msaada, zasubiri tangazo la bajeti kwa hamu

  Biashara ndogo zinazo tafuta msaada, zasubiri tangazo la bajeti kwa hamu

  06/10/2020 Duración: 07min

  Biashara ndogo zinaweza tarajia kupokea msaada wakifedha kutoka bajeti ya shirikisho jumanne ila, wengi wanajiuliza kama msaada huo utakuwa wakutosha.

 • Taarifa ya habari 6 Oktoba 2020

  Taarifa ya habari 6 Oktoba 2020

  06/10/2020 Duración: 14min

  Waziri Mkuu aeleza bunge kuwa bajeti ya taifa itakayo tangazwa leo usiku, niyakuwapa wa Australia matumaini kwa siku za usoni.

 • Manchester United wala 6 nyumbani

  Manchester United wala 6 nyumbani

  05/10/2020 Duración: 06min

  Msimu mpya wa ligi kuu ya England unaendelea kuwashangaza mashabiki wa timu zinazo shiriki.

 • Taarifa ya habari 4 Oktoba 2020

  Taarifa ya habari 4 Oktoba 2020

  04/10/2020 Duración: 17min

  Mweka hazina wa taifa Josh Frydenberg amesema changamoto kubwa inayo kabili uchumi, inahitaji msaada mkubwa, kupiga jeki shughuli pamoja nakukuza ajira.

 • Jinsi gani COVID-19 imetubadilisha tunavyo omboleza

  Jinsi gani COVID-19 imetubadilisha tunavyo omboleza

  29/09/2020 Duración: 18min

  Msiba katikati ya shida ya kiafya kidunia inazidisha hali mbaya ya kufiwa pale ambapo hatuwezi kumpa mpendwa wetu maziko mazuri.

 • Taarifa ya habari 29 Septemba 2020

  Taarifa ya habari 29 Septemba 2020

  29/09/2020 Duración: 16min

  Serikali ya shirikisho inawekeza mamilioni ya hela katika teknolojia zakidigitali, kuboresha jinsi biashara zimeanza tayari kuhamisha oparesheni za kazi zao mtandaoni kwa sababu ya coronavirus.

 • Wagombea waongoza njia kwa uwakilishi wa wana Afrika

  Wagombea waongoza njia kwa uwakilishi wa wana Afrika

  28/09/2020 Duración: 07min

  Wagombea watatu katika uchaguzi wa halmashauri jimboni Victoria, wanajaribu kutengeza historia kwakuwa madiwani wakwanza jimboni humo walio zaliwa barani Afrika.

 • Janga la idadi ya watu lakaribia wakati kupungua kwa viwango vyakuzaliwa kwa watoto kwa athiri bajeti ya taifa

  Janga la idadi ya watu lakaribia wakati kupungua kwa viwango vyakuzaliwa kwa watoto kwa athiri bajeti ya taifa

  27/09/2020 Duración: 05min

  Serikali ya shirikisho inaonywa kuhusu janga la idadi ya watu, wakati utafiti unaonesha kupungua kwa kasi ya kiwango cha idadi ya watoto wanao zaliwa nchini Australia.

 • Taarifa ya habari 27 Septemba 2020

  Taarifa ya habari 27 Septemba 2020

  27/09/2020 Duración: 14min

  Wakazi wa Melburne wata amka kesho asubuhi jumatatu, nakupata baadhi ya vizuizi vya COVID-19 vimeregezwa kabla ya ratiba.   

 • Wanafunzi wengi wakimataifa wamepitia uzoefu wa ubaguzi wa rangi wakati wa janga la COVID-19

  Wanafunzi wengi wakimataifa wamepitia uzoefu wa ubaguzi wa rangi wakati wa janga la COVID-19

  23/09/2020 Duración: 07min

  Utafiti mpya uliowashirikisha zaidi ya idadi yawanafunzi elfu sita wakimataifa nchini Australia, umepata kuwa wengi wao wanakabiliana na ubaguzi wa rangi kwa sababu ya COVID-19.

 • Mwongozo wa Makazi: Je! Mikopo ya kila siku na janga hili italeta tsunami ya madeni?

  Mwongozo wa Makazi: Je! Mikopo ya kila siku na janga hili italeta 'tsunami ya madeni'?

  22/09/2020 Duración: 18min

  Kuporomoka kwa uchumi wa kwanza wa Australia katika miaka 29, kumewafanya washauri wa masuala ya fedha kushughulika na kupokea simu kutoka kwa watu ambao, hawajawahi kukabiliwa na matatizo ya madeni.

 • Taarifa ya habari 22 Septemba 2020

  Taarifa ya habari 22 Septemba 2020

  22/09/2020 Duración: 13min

  Juhudi zakupunguza uzalishaji wa hewa chafu zapigwa jeki kwa uwekezaji wa dola milioni 18, na wakazi wa kaskazini New South Wales kupewa vibali vyakuingia Queensland.

 • Vivutio vyakifedha vyapendekezwa kabla ya bajeti ya taifa kutangazwa

  Vivutio vyakifedha vyapendekezwa kabla ya bajeti ya taifa kutangazwa

  21/09/2020 Duración: 06min

  Ni takriban wiki mbili kabla ya bajeti ya taifa kutolewa, na uvumi unaendelea kuongezeka kuhusu jinsi serikali inapanga kuongoza nchi hii kutoka mfumuko wa uchumi.

página 1 de 20

Informações: