Sbs Swahili - Sbs Swahili
Wiki hii Afrika: Rais Ruto ataka mageuzi katika muundo wa Muungano wa Afrika ili ifikie uwezo wayo kamili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:07:56
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Rais wa Kenya, William Ruto amesema Umoja wa Afrika katika muundo wake wa sasa, hauja andaliwa ipaswavyo ili kulisaidia bara la Afrika kufikia uwezo walo kamili wa maendeleo na ustawi.