Afrika Ya Mashariki

Utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na shirika la maendeleo la Ufaransa (AFD)

Informações:

Sinopsis

Karibu Katika Makala ya Afrika mashariki hii leo inatuwama katika Mkoa wa Arusha palipo makao makuu ya Jumuiya ya Afrika mashariki tukiangaza juu ya miradi ya kilimo endelevu inayotekelezwa kwa ufadhili wa Shirika la maendeleo la Ufaransa AFD.