Afrika Ya Mashariki

Sehemu ya pili: Mradi wa kilimo unaofadhiliwa na AFD mjini Arusha

Informações:

Sinopsis

Mradi wa kilimo endelevu unatanua mbawa zake sio tu katika kilimo bali pia kuwajengea uwezo wakulima kufanya shuguli za ufugaji. Mradi huu unatekelezwa kwa ufadhiri wa shirika la maendeleo la Ufaransa AFD katika mkoa wa Arusha nchini Tanzania unakwenda mbali zaidi hadi kuwafikia wanamazingira.Mafuzo wanayopata wanasema yamekuwa chachu yakubadili Maisha yao kwani sasa wanamudu vyema kuwapatia Watoto wao elimu bora