Afrika Ya Mashariki

Kumbukizi ya miaka 28 tangu kuzama kwa meli ya MV Bukoba

Informações:

Sinopsis

Baadhi ya Wakazi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kushiriki ibaada ya kumbukizi ya ajali ya MV Bukoba, ibada hiyo imefanyika katika Makaburi ya wahanga wa ajali ya MV Bukoba yaliyopo katika kitongoji cha Igoma Mkoani Mwanza nchini Tanzania