Jioni - Voice Of America

Mchambuzi wa siasa za kimataifa Chacha Nyaigoti anaelezea umaarufu na kazi za Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter aliyefariki Jumapili - Desemba 30, 2024

Informações:

Sinopsis

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.