Jioni - Voice Of America

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 28:29:14
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Episodios

  • Wamarekani wanaendelea kuomboleza kifo cha Rais wa zamani Jimmy Carter aliyefariki Jumapili akiwa na umri wa miaka 100. - Desemba 31, 2024

    31/12/2024 Duración: 29min

    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

  • Mchambuzi wa siasa za kimataifa Chacha Nyaigoti anaelezea umaarufu na kazi za Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter aliyefariki Jumapili - Desemba 30, 2024

    30/12/2024 Duración: 29min

    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

  • Matukio muhimu katika sekta ya afya na dunia ya wanawake mwaka 2024 - Desemba 29, 2024

    29/12/2024 Duración: 29min
  • Matukio muhimu Marekani na Mashariki ya kati mwaka 2024 - Desemba 28, 2024

    28/12/2024 Duración: 29min
  • Wasikilizaji wazungumzia mambo yaliyowaridhisha nchini mwao mwaka wa 2024 na yapi ya kushughulikiwa mwaka ujao - Desemba 27, 2024

    27/12/2024 Duración: 59min
  • Polisi wa Kenya wakanusha kuhusika katika vitendo vya utekaji nyara - Desemba 26, 2024

    26/12/2024 Duración: 29min
  • Papa Francis ametoa wito Jumatano kutaka silaha kunyamazishwa kote duniani, alipokua anatoa hotuba ya kusherehekea siku kuu ya krismasi - Desemba 25, 2024

    25/12/2024 Duración: 29min

    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

  • Serikali ya kenya inasema imepata ufadhili wa shilingi bilioni 12 kutoka Benki ya maendeleo ya Afrika kuwezesha usambazaji wa umeme. - Desemba 24, 2024

    24/12/2024 Duración: 29min

    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

  • Jioni - Desemba 23, 2024

    23/12/2024 Duración: 29min

    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

  • Russia ni tishio kubwa kwa usalama wa EU, asema waziri mkuu wa Italy - Desemba 22, 2024

    22/12/2024 Duración: 29min
  • Kiongozi mpya wa Syria amteua waziri wa mambo ya nje - Desemba 21, 2024

    21/12/2024 Duración: 29min
  • Jioni - Desemba 20, 2024

    20/12/2024 Duración: 59min

    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

  • Kimbunga Chido kimesababisha vifo vya watu 73 nchini Msumbiji, imesema Taasisi ya Kitaifa ya Usimamizi wa Hatari na Maafa huko Msumbiji - Desemba 19, 2024

    19/12/2024 Duración: 29min

    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

  • Mapigano yameongezeka DRC baada ya mazungumzo ya amani kuvunjika - Desemba 18, 2024

    18/12/2024 Duración: 30min

    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

  • Mwanafunzi wa kike wa miaka 15 nchini Marekani amefanya shambulio la risasi katika shule anayosoma na kusababisha vifo na majeruhi. - Desemba 17, 2024

    17/12/2024 Duración: 30min

    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

  • Jioni - Desemba 16, 2024

    16/12/2024 Duración: 29min

    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

  • Kagame na Tshisekedi hawakukutana Angola kama ilivyotarajiwa katika mazungumzo ya amani - Desemba 15, 2024

    15/12/2024 Duración: 29min
  • Rais mteule wa Ghana John Dramani Mahama amesema hataachana na mpango wa IMF - Desemba 14, 2024

    14/12/2024 Duración: 29min

    Rais mteule wa Ghana John Dramani Mahama amesema hataachana na mpango wa IMF

  • Hatua ya Rais wa DRC Felix Tshisekedi kutoa wito wa kutaka mageuzi ya katiba limezua maoni mseto kwa wachambuzi wa siasa DRC na kimataifa. - Desemba 13, 2024

    13/12/2024 Duración: 59min

    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

  • Somalia yairuhusu Ethiopia kutumia bandari zake kwa shughuli za kibiashara - Desemba 12, 2024

    12/12/2024 Duración: 29min
página 1 de 3