Jioni - Voice Of America
Jimmy Carter alikuwa rais wa kwanza wa Marekani kufanya ziara ya kiserikali barani Afrika chini ya jangwa la Sahara. - Januari 05, 2025
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:29:59
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.