Sbs Swahili - Sbs Swahili

Makala leo:YWCA yapewa sifa kwa kuwasaidia wanawake Sydney

Informações:

Sinopsis

Kukusanya fedha ili kupunguza makazi duni miongoni mwa wanawake ndiyo lengo la hoteli moja mjini Sydney, moja kati ya biashara elfu kumi na mbili ya kijamii nchini Australia zinazochanganya faida na lengo. Likizo za kiangazi ni wakati wenye mafanikio kwa maeneo mengi ya utalii. Lakini hoteli ya Song mjini Sydney inazingatia zaidi ya kutengeneza pesa. Inasaidia miradi ya makazi ya YWCA kwa wanawake wanaohitaji msaada. Meneja Mkuu Jon Ackary anaeleza.