Sbs Swahili - Sbs Swahili
Makala leo:kundi la wanasayansi watafiti asili, chakula na kukua kwa samaki
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:06:54
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Mamilioni ya watu duniani kote huugua kila mwaka kutokana na vyakula visivyo salama au vilivyochafuliwa. Baadhi ni kutokana na udanganyifu wa vyakula, kitendo cha kuuza makusudi bidhaa za chakula bandia, zilizodanganywa au zilizobadilishwa kwa faida ya kifedha. Wanasayansi wa Australia wameunda njia mpya za kukabiliana na tatizo hili la mabilioni ya dola