Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari: Waziri Mkuu aeleza timu ya soka ya wanawake ya Iran, "msaada upo kama wana uhitaji"

Informações:

Sinopsis

Waziri Mkuu wa Australia amesema serikali itamsaidia yeyote kati ya timu ya soka ya wanawake ya Iran ambaye bado hajaomba hifadhi hapa.