Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari: Serikali ya Australia na Singapore kutia saini makubaliano mapya ya usambazaji wa mafuta

Informações:

Sinopsis

Waziri Mkuu Anthony Albanese anasema uhusiano kati ya Australia na Singapore ni muhimu zaidi kuliko hapo awali, nchi hizo mbili zikijiandaa kusaini makubaliano mapya ya mafuta.