Sbs Swahili - Sbs Swahili

Wafanyakazi wa umma kuongezewa mshahara NSW

Informações:

Sinopsis

Wafanyakazi wa sekta ya umma jimboni New South Wales, wanatarajia nyongeza ya asilimia tatu kwa mishahara yao.