Sbs Swahili - Sbs Swahili

Jean: "Wahutu walio okoa maisha ya watutsi nimashujaa"

Informações:

Sinopsis

Jamii yawanyarwanda wanao ishi Sydney, Australia walijumuika kwa ibada maalum kuwambuka walio uawa katika mauaji yakimbari dhidi yawatutsi nchini Rwanda.