Sbs Swahili - Sbs Swahili

Jane: "Kama mtu alisamehe aliye uwa familia yake, sisi tunasababu gani yakuwa na tafauti"?

Informações:

Sinopsis

Chuo cha katoliki mjini Sydney kwa mara nyingine, kilikuwa mwenyeji wa ibada yakuwakumbuka walio uawa katika mauaji ya kimbari ya 1994.