Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari 5 Julai 2022

Informações:

Sinopsis

Serikali ya shirikisho inazingatia kutoa malipo ya misaada kwa wakaazi wa New South Wales, wanao kabiliana na dharura ya mafuriko mabaya wiki hii.