Sbs Swahili - Sbs Swahili

Mvua ya ziada yatabiriwa mjini Sydney

Informações:

Sinopsis

Maelfu ya watu wame amuriwa kuondoka wanako ishi wakati, mvua nzito inaendelea kulikabili jimbo la New South Wales, hali ambayo imefanya jimbo hilo likabiliane tena na mgogoro mkubwa wa mafuriko.