Sbs Swahili - Sbs Swahili

Monga:"mimi ni daraja kati ya familia, wanafunzi na shule"

Informações:

Sinopsis

Moja ya changamoto kubwa ambayo hukabili familia nyingi zinazo wasili nchini Australia kama wakimbizi, ni jinsi yakuwasiliana na shule za watoto wao kufuatilia maendeleo yao au panapo kuwa tatizo.