Sbs Swahili - Sbs Swahili

Patrick: "Majirani waliniambia jinsi watu walikufa, na niliona nyumba za familia yangu zilizo bomolewa"

Informações:

Sinopsis

Wanachama wa jamii yawanyarwanda wame chapisha kitabu kwa jina la Survivors Uncensored, chenye zaidi ya hadithi 100 kuhusu waliyo shuhudia wakati wa mauaji ya kimbari ya 1994.