Sbs Swahili - Sbs Swahili

Charles "Lazima tuishi na pressure sababu sisi ndio sura ya waafrika katika ligi"

Informações:

Sinopsis

Charles Mmombwa ni mmoja wa wachezaji wenye asili ya Afrika, wenye sifa kubwa sana kwa vipaji vyao katika ligi kuu ya mpira wa miguu ya Australia.