Alfajiri - Voice Of America
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 24:59:24
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast
Episodios
-
Jeshi la Israel limeua watu 33 kwenye shule ya Umoja wa Mataifa katikati mwa Gaza - Juni 07, 2024
07/06/2024 Duración: 29min -
Serikali ya Kenya imetangaza kununua takribani dozi milioni nane za chanjo za watoto nchini humo. - Juni 06, 2024
06/06/2024 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Rais wa Marekani ametangaza amri ya kiutendaji siku ya Jumanne itakayozuia kwa muda ustahiki wa hifadhi katika mpaka wa Marekani na Mexico - Juni 05, 2024
05/06/2024 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Mazungumzo ya kuunda serikali ya kwanza ya muungano nchini Afrika kusini yanatarajiwa kuanza wiki hii - Juni 04, 2024
04/06/2024 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad amejiandikisha kuwania urais katika uchaguzi ujao. - Juni 03, 2024
03/06/2024 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Trump apatikana na hatia ya makosa 34 katika kesi yake ya kwanza ya jinai - Mei 31, 2024
31/05/2024 Duración: 30min -
Zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi nchini Afrika Kusini linaendelea - Mei 30, 2024
30/05/2024 Duración: 29min -
Blinken na mkuu wa jeshi la Sudan wajadili haja ya kumaliza vita nchini Sudan - Mei 29, 2024
29/05/2024 Duración: 29min -
Rais Joe Biden wa Marekani ametangaza nia yake ya kuiteua nchi ya Kenya kuwa mshirika mkubwa wa Marekani ambaye sio mwanachama wa NATO - Mei 24, 2024
24/05/2024 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Rais Biden amekutana White House na Rais Ruto wa Kenya kwa ziara ya kitaifa wakati Kenya ikijiandaa kupeleka askari wake 1,000 huko Haiti. - Mei 23, 2024
23/05/2024 Duración: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Mwigizaji wa filamu za ngono Stormy Daniel akuatana ana kwa ana na rais wa zamani wa Marekani Donald Trump - Mei 22, 2024
22/05/2024 Duración: 29minMwigizaji wa filamu za ngono Stormy Daniels alikutana ana kwa ana na Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump siku ya Jumanne, akiwaambia majaji katika kesi yake ya New York kwamba alikuwa na uhusiano wa kimapenzi naye mwaka 2006 na alilipwa dola 130,000 ili kukaa kimya.
-
Sintofahamu yaendelea Ukanda wa Gaza licha ya Hamas kusema wataridhia pendekezo la sitisho la mapigano - Mei 21, 2024
21/05/2024 Duración: 29minintofahamu yaendelea Ukanda wa Gaza licha ya Hamas kusema wataridhia pendekezo la sitisho la mapigano
-
Serikali ya Tanzania yasema wananchi walivamia eneo la uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro - Mei 20, 2024
20/05/2024 Duración: 30minSerikali ya Tanzania yasema wananchi walivamia eneo la uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro
-
Maelfu waukimbia mji wa Rafah huku mapigano kati ya Israel na Hamas yakizidi kuwa mabaya - Mei 17, 2024
17/05/2024 Duración: 29minMaelfu waukimbia mji wa Rafah huku mapigano kati ya Israel na Hamas yakizidi kuwa mabaya
-
Mdahalo wa Biden na Trump mwezi Juni utakuwa wa mapema zaidi katika historia ya Marekani - Mei 16, 2024
16/05/2024 Duración: 30minMdahalo wa Biden na Trump mwezi Juni utakuwa wa mapema zaidi katika historia ya Marekani