Voa Express - Voice Of America

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 9:59:42
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. 

Episodios

  • Vijana Uganda washauriwa kutumia simu za mkononi kupambana na ufisadi - Desemba 06, 2024

    06/12/2024 Duración: 29min

    Vijana Uganda washauriwa kutumia simu za mkononi kupambana na ufisadi

  • Vijana wa Afrika mashariki wanaeleza namna wanavyotumia rasilimali ya udongo katika kuleta maendeleo kwa jamii wanazoishi. - Desemba 05, 2024

    05/12/2024 Duración: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Shirika lisilo la serikali Generation Kenya linachangia kwa kuwapatishia ajira maelfu ya vijana - Desemba 04, 2024

    04/12/2024 Duración: 29min
  • Dunia inaadhimisha siku ya walemavu huku walezi au wazazi wanaowahudumia walemavu wanaeleza changamoto zilizopo katika maisha ya kila siku. - Desemba 03, 2024

    03/12/2024 Duración: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Vijana nchini Kenya wanaaswa kutambua na kujilinda na maambukizi ya HIV ambayo yanaongezeka kwenye kundi la miaka 15 hadi 24. - Desemba 02, 2024

    02/12/2024 Duración: 30min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Jumuia ya Afrika Mashariki yaadhimisha miaka 25 tangu kuundwa kwake. Vijana watoa maoni kuhusu mafanikio na changamoto - Novemba 29, 2024

    29/11/2024 Duración: 29min
  • Utali umesaidia kuajiri vijana nchini Tanzania kulingana na mtaalamu wa masuala ya ujasiriamali katika mkoa wa Arusha - Novemba 28, 2024

    28/11/2024 Duración: 30min
  • Serikali ya Kenya inaendelea kuajiri vijana kwa wingi wakafanye kazi ugaibuni - Novemba 27, 2024

    27/11/2024 Duración: 29min
  • Program tofauti zinafanyika katika nchi nyingi za Afrika katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia hadi Disemba 10. - Novemba 26, 2024

    26/11/2024 Duración: 30min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Mwanaharakati wa wanawake wa shirika la Open Talk la Kenya anaelezea elimu wanayotoa kusitisha visa vya ukatili kwa wanawake na wasichana - Novemba 25, 2024

    25/11/2024 Duración: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Vijana katika COP29 nchini Azerbaijan wanasema wanataka siti na ushirikishwaji wa moja kwa moja wa majadiliano ya mabadiliko ya tabia nchi. - Novemba 22, 2024

    22/11/2024 Duración: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • VOA Express - Novemba 21, 2024

    21/11/2024 Duración: 29min

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mtoto wito watolewa kutatua changamoto zao - Novemba 20, 2024

    20/11/2024 Duración: 29min

    Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mtoto wito watolewa kutatua changamoto zao

  • Unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto na unyanyasaji mwingine nchini Tanzania unaongezeka, kulingana na taasisi ya Macho kwa Jamii. - Novemba 19, 2024

    19/11/2024 Duración: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Kijana mfanyabiashara wa Kariakoo nchini Tanzania anasema biashara imebadilika tangu jengo la ghorofa lilipoanguka na kusababisha maafa. - Novemba 18, 2024

    18/11/2024 Duración: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Vijana na mashabiki wa muziki wanaelezea walivyoguswa na kifo cha King Kiki, gwiji wa muziki wa Rumba huko Tanzania na Afrika Mashariki. - Novemba 15, 2024

    15/11/2024 Duración: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Mwanzilishi wa Unique Journey Life Coach ya Marekani anaelezea changamoto zilizopo wasichana kujitokeza wanaopitia unyanyasaji wa kijinsia. - Novemba 14, 2024

    14/11/2024 Duración: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Vijana wanataka wasiachwe nyuma katika kulinda mazingira - Novemba 13, 2024

    13/11/2024 Duración: 29min

    Vijana wanataka wasiachwe nyuma katika kulinda mazingira

  • Wanawake wenye msongo wa mawazo washauriwa kupata ushauri badala ya Skanka - Novemba 12, 2024

    12/11/2024 Duración: 29min

    Wanawake wenye msongo wa mawazo washauriwa kupata ushauri badala ya Skanka

  • Mwanzilishi wa Doris Mollel Foundation ya Tanzania anaeleza changamoto zilizopo katika kusaidia afya ya Mama na mtoto kwa vijana nchini humo - Novemba 11, 2024

    11/11/2024 Duración: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.