Fata Bibilia Ikuongoze
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 21:02:39
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
The Podcast of the LIVING GOD.
Episodios
-
Itaji Wimbo Mpya Part 2
16/04/2024 Duración: 35minZaburi 32:7 7 Ndiwe sitara yangu, utanihifadhi na mateso, Utanizungusha nyimbo za wokovu. Itaji limbo mpya ( Daniel 6 )
-
-
Tunda La Roho ( UVUMILIVU )
19/09/2023 Duración: 08minWagalatia 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
-
Tunda La Roho ( AMANI )
14/07/2023 Duración: 22minWagalatia 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
-
Tunda La Roho ( FURAHA )
14/07/2023 Duración: 22minWagalatia 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
-
Tunda La Roho ( UPENDO )
14/07/2023 Duración: 34minWagalatia 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
-
Kunena Kwa Lugha Part 2.2
29/05/2022 Duración: 31minFundisho kuhusu kunena au kusema kwa Lugha. Matendo ya Mitume 2:4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
-
Kunena Kwa Lugha Part 2.1
29/05/2022 Duración: 31minFundisho kuhusu kunena au kusema kwa Lugha. Matendo ya Mitume 2:4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
-
Kunena Kwa Lugha Part 1.2
29/05/2022 Duración: 27minFundisho kuhusu kunena au kusema kwa Lugha. Matendo ya Mitume 2:4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
-
Kunena Kwa Lugha Part 1.1
29/05/2022 Duración: 27minFundisho kuhusu kunena au kusema kwa Lugha. Matendo ya Mitume 2:4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
-
Nguvu Ya Sifa Na Maabudu
09/05/2022 Duración: 24minMtumishi Kicha Kisambo ubiri kubusu Sifa na Maabudu.
-
-
Je, chanjo ya corona ni 666?
29/03/2022 Duración: 30minCovid-19 Vaccination; Je, ninamba ya mnyama 666?
-
Nini maana ya Kupayuka payuka katika maombi?
07/10/2021 Duración: 38minMathayo 6:7 7 Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.
-
Barua kwa Sardi( Ufunuo 3:1-6 )
01/10/2021 Duración: 47minBarua kwa Sardi( Ufunuo 3:1-6 ) by FUATA BIBLIA
-
Barua kwa Pergamo( Ufunuo 2:12-17 )
01/10/2021 Duración: 45minBarua kwa Pergamo( Ufunuo 2:12-17 ) by FUATA BIBLIA
-
Barua kwa Smurna ( Ufunuo 2:8-11 )
01/10/2021 Duración: 36minBarua kwa Smurna ( Ufunuo 2:8-11 ) by FUATA BIBLIA
-
Barua kwa Efeso ( Ufunuo 2:1-7 ) Part 2.
01/10/2021 Duración: 28minBarua kwa Efeso ( Ufunuo 2:1-7 ) Part 2. by FUATA BIBLIA
-
Barua kwa Efeso( Ufunuo 2:1-7 ) Part 1.
01/10/2021 Duración: 27minBarua kwa Efeso( Ufunuo 2:1-7 ) Part 1. by FUATA BIBLIA
-
JE, nivizuri watumishi wa Mungu kuwa na walinzi wa mwili ( Bodyguard )?
19/05/2021 Duración: 29minUlizo ilio ulizwa na wasikilizaji wetu; Je, nivizuru mtumishi wa Mungu kuwa na walinzi wa mwili ( Bodyguard )? Nawe ukiwa na Ulizo fulani kuhusu Imani yako ya Kikristo, karibu upate kuuliza. Ulizo yako itakuwa usahidizi kwa watu wengine. Support link / Towa msahada wako hapa: https://streamlabs.com/fuatabibliaikuongoze Mafundisho kwa sauti: https://soundcloud.com/user-529110866 https://podcasts.google.com/.../aHR0cHM6Ly9mZWVkcy5zb3VuZ... Tufwate hapa: https://www.facebook.com/Fuata2017 https://www.facebook.com/IKUU-1004985... https://www.youtube.com/watch?v=06eyHgn2ENo&t=2468s