Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 115:44:05
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
SBS Swahili Mubashara 19 Julai 2022
20/07/2022 Duración: 53minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Fikiri kwa makini kabla upige simu kwa 000
19/07/2022 Duración: 13minJeshi la polisi lina wahamasisha wa Australia watumie namba ya (000) kwa dharura tu, na wawasiliene na polisi kwa matukio mengine yasiyo ya dharura kupitia namba zingine za huduma.
-
Taarifa ya Habari 19 Julai 2022
19/07/2022 Duración: 16minMamlaka waongeza juhudi kuhakikisha usalama wa wanafunzi dhidi ya milipuko ya UVIKO-19, baada ya shule kufunguliwa tena kwa mhula wa tatu.
-
Bw Elongo afunguka kuhusu huduma za ASSIDA
18/07/2022 Duración: 07minShirika la ASSIDA hutoa huduma kwa jamii zawakimbizi na wahamiaji mjini Sydney, Australia.
-
Taarifa ya Habari 17 Julai 2022
17/07/2022 Duración: 18minMfumo wa huduma ya afya wa Victoria wapigwa jeki kwa uwekezaji wa zaidi ya dola milioni mia moja.
-
SBS Swahili Mubashara 12 Julai 2022
13/07/2022 Duración: 52minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Monga:"mimi ni daraja kati ya familia, wanafunzi na shule"
13/07/2022 Duración: 09minMoja ya changamoto kubwa ambayo hukabili familia nyingi zinazo wasili nchini Australia kama wakimbizi, ni jinsi yakuwasiliana na shule za watoto wao kufuatilia maendeleo yao au panapo kuwa tatizo.
-
Kenya yaongoza njia kuhifadhi joto la chanjo
12/07/2022 Duración: 07minMoja ya matatizo makubwa yakupata chanjo ya UVIKO-19 katika maeneo ya vijiji, vya nchi zinazo endelea niku hifadhi chanjo hizo kwenye joto sahihi.
-
Taarifa ya Habari 12 Julai 2022
12/07/2022 Duración: 18minKongamano la ajira la serikali linatazamia wahamiaji, wajaze mapengo mhimu ya kazi ila mweka hazina amesema hiyo siyo suluhu pekee.
-
Wapangaji wakabiliana na ongezeko ya shinikizo kupata nakuendelea kuishi ndani ya nyumba
10/07/2022 Duración: 12minTakwimu mpya zina onesha watu wanao kodi nyumba, wako chini ya ongezeko ya shinikizo kupata nakubaki ndani ya nyumba za bei nafuu.
-
Taarifa ya Habari 10 Julai 2022
10/07/2022 Duración: 20minWawakilishi wa China na Australia wakutana kuanza kukarabati uhusiano kati ya nchi hizo mbili, China ikilaumu serekali za zamani kwa mvutano kati ya nchi yake na Australia.
-
Eshima "Ukitumia kipaji chako utavuna matunda mazuri'
06/07/2022 Duración: 12minVijana wengi katika jamii zenye asili ya Afrika ya kati nchini Australia, wame anza kuacha kazi zakuajiriwa nakufungua biashara zao binafsi.
-
SBS Swahili Mubashara 5 Julai 2022
06/07/2022 Duración: 53minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Taarifa ya Habari 5 Julai 2022
05/07/2022 Duración: 20minSerikali ya shirikisho inazingatia kutoa malipo ya misaada kwa wakaazi wa New South Wales, wanao kabiliana na dharura ya mafuriko mabaya wiki hii.
-
Mvua ya ziada yatabiriwa mjini Sydney
04/07/2022 Duración: 07minMaelfu ya watu wame amuriwa kuondoka wanako ishi wakati, mvua nzito inaendelea kulikabili jimbo la New South Wales, hali ambayo imefanya jimbo hilo likabiliane tena na mgogoro mkubwa wa mafuriko.
-
Nini maana yakukaribishwa katika nchi?
03/07/2022 Duración: 09minMara nyingi katika mwanzo wa tukio, huwa tunaona sherehe rasmi ya ukaribisho, inayo fanywa nawalinzi wajadi waki Aboriginal.
-
Taarifa ya Habari 3 Julai 2022
03/07/2022 Duración: 17minMwanaume mmoja amefariki nama dazeni ya watu kuokolewa, wakati sehemu za Sydney na kanda ya Illawarra zimefurika kwa mara ya pili mwaka huu.
-
Sensa ya 2021 yathibitisha ongezeko la watu wanao acha dini Australia
03/07/2022 Duración: 07minData ya sensa iliyo chapishwa wiki hii, ime thibitisha kuwa Australia ina shuhudia ongezeko kubwa la maendeleo ya watu wanao acha dini.
-
Je! Ujio wa DR Congo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki utafaidi vipi raia wake?
29/06/2022 Duración: 08minNi miezi kadhaa sasa tangu Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo ikaribishwe kuwa mwanachama mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
-
Taarifa ya Habari 28 Juni 2022
28/06/2022 Duración: 14minSekta ya huduma yawazee yawalilia wafanyakazi takriban elfu 35, inayo wahitaji kutekeleza majukumu ya huduma.