Afrika Ya Mashariki
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 3:58:42
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.
Episodios
-
Tanzania: Jamii zinavyo shiriki katika utunzaji wa hifadhi ya Ruaha
11/10/2023 Duración: 09minJamii zinavyo shiriki katika utunzaji wa hifadhi ya Ruaha
-
Juhudi za kusambaza umeme nchini Tanzania
22/09/2023 Duración: 09minZaidi ya watu milioni mia tano kusini mwa jangwa la sahara wanakabiliwa na tatizo la umeme.
-
Nafasi ya muungano wa BRICS kwa mataifa ya Afrika
29/08/2023 Duración: 09minViongozi wa kundi la mataifa ya BRICS - Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini hvi karibuni wamekutana mjini Johannesburg nchini Afrika kusini na ajenda muhimu mezani ikiwa ni kukubali ombi la kuongeza wanachama wapya ndani ya muungano huo. Tunaangazia mkutano huu wiki hii.
-
Vijana na ushiriki wa fursa ndani ya Afrika mashariki
16/08/2023 Duración: 09minNamna Jumuiya ya Afrika Mashariki inawapa vijana nafasi na fursa za kujiendeleza kimandeleo.