Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 117:35:31
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Yves "Silazima makampuni ya hifadhi data za wateja wao kwa muda mrefu"
06/10/2022 Duración: 17minKampuni ya Optus imejipata mashakani hivi karibuni, baada ya mdukuzi kuchapisha mtandaoni taarifa ya wateja wa kampuni hiyo mtandao.
-
SBS Swahili Mubashara 4 Oktoba 2022
05/10/2022 Duración: 52minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Charles "Lazima tuishi na pressure sababu sisi ndio sura ya waafrika katika ligi"
05/10/2022 Duración: 06minCharles Mmombwa ni mmoja wa wachezaji wenye asili ya Afrika, wenye sifa kubwa sana kwa vipaji vyao katika ligi kuu ya mpira wa miguu ya Australia.
-
Taarifa ya Habari 4 Oktoba 2022
04/10/2022 Duración: 18minMweka hazina wa taifa asisitiza kuwa serikali bado haija badili msimamo wayo kwa makato ya kodi ya awamu ya tatu, licha ya ukosoaji kwa mpango huo kutoka upinzani na wadau wengine.
-
Mchungaji Joseph "Mungu ametutuma kuleta uamsho Australia"
03/10/2022 Duración: 06minDini ni sehemu mhimu katika maisha ya watu wengi haswa watu wenye asili ya Afrika.
-
Taarifa ya Habari 2 Oktoba 2022
02/10/2022 Duración: 21minSerikali ya Victoria yaahidi mamia yamamilioni ya dola kuboresha mfumo wa afya ya umma iwapo itashinda uchaguzi wa jimbo ujao.
-
Je! Tanganyika ilikuwa bora chini ya ulinzi wa Uingereza kuliko ukoloni wa Ujerumani?
29/09/2022 Duración: 09minKifo cha Malkia Elizabeth II kili ibua hisia mseto kote duniani, haswa Tanzania ambako watu wa vizazi tofauti walipokea taarifa ya kifo chake katika hali tofauti.
-
Taarifa ya Habari 27 Septemba 2022
27/09/2022 Duración: 18minAsilimia 95 ya familia zenye watoto nchini Australia, kufaidi kupitia mageuzi ya serikali ya shirikisho kwa gharama ya huduma ya malezi ya watoto.
-
Taarifa ya Habari 25 Septemba 2022
25/09/2022 Duración: 18minUpinzani wa shirikisho umekataa kusema kama utaunga mkono, kuengeza muda wa makato ya kodi ya petroli, ambayo inatarajiwa kuisha usiku wa Jumatano 28 Septemba 2022.
-
Serikali yafanya maandalizi kwa mageuzi ya tabia ndani ya bunge la taifa
25/09/2022 Duración: 08minWakati kukiwa matukio yanayo zunguka mazishi ya malkia pamoja na siku ya taifa ya maombolezi, mjini Canberra kume kuwa shughuli za kimya kimya wiki hii katika tathmini ya Jenkins.
-
Milton: "Lengo lakundi letu niku kutanisha naku unganisha wanaume"
22/09/2022 Duración: 12minWanaume kote duniani mara nyingi huwa wana lalamikia uhaba wa huduma, namashirika yanayo toa huduma zinazo walenga.
-
Nini hutokea mtoto wako anapofikisha miaka 18 nchini Australia?
22/09/2022 Duración: 11minJe! kuwa mtu mzima kuna maanisha nini katika hali ya vitendo?
-
Taarifa ya Habari 20 Septemba 2022
20/09/2022 Duración: 18minBajeti ya mwisho wa mwaka wa biashara wa 2021/22, yazua mvutano kati ya serikali na upinzani wa shirikisho kila pande ikidai ipewe sifa kwa ubora wayo.
-
Taarifa ya Habari 18 Septemba 2022
18/09/2022 Duración: 17minKaimu waziri mkuu Richard Marles atetea jibu rasmi la serikali ya Australia, kwa kifo cha Malkia Elizabeth wa pili.
-
What were the Australian Wars and why is history not acknowledged? - Vita vya Australia vilikuwa vigani na kwa nini historia hiyo haitambuliwi?
16/09/2022 Duración: 14minThe Frontier Wars is a term often used to describe the more than 100 years of violent conflicts between colonial settlers and the Indigenous peoples that occurred during the British settlement of Australia. Even though Australia honours its involvement in wars fought overseas, it is yet to acknowledge the struggle that made it the country it is today. - The Frontier Wars ni neno ambalo hutumiwa mara nyingi kuelezea zaidi ya miaka 100 ya migogoro ya vurugu kati yawakoloni na jamii yawa Australia wa kwanza, wakati Wangereza walipo wasili kujenga makaazi yao Australia. Hata kama Australia huenzi uhusika wake katika vita ilivyoshiriki ng'ambo, bado haija tambua mapambano yaliyo ifanya iwe ilivyo leo.
-
Leyla: "Balozi za Kenya zinastahili jali maslahi yawakenya wanao fanya kazi nje ya nchi"
15/09/2022 Duración: 10minIdadi yawakenya wanao safiri kwenda kuanza ajira, katika nchi za kigeni inaongezeka kila siku.
-
SBS Swahili Mubashara 13 Septemba 2022
15/09/2022 Duración: 54minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Gharama kubwa yatarajiwa kwa likizo ya ghafla ya umma
14/09/2022 Duración: 07minLikizo ya umma isiyotarajiwa imewaacha mashakani wazazi wengi, shule, wafanyakazi wa sekta mhimu pamoja na biashara.
-
Taarifa ya Habari 13 Septemba 2022
13/09/2022 Duración: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese amethibitisha kuwa ataunga mkono, pendekezo kutoka serikali zamajimbo na wilaya kuongeza muda wa malipo ya likizo ya dharura ya janga zaidi ya mwezi huu.
-
Jukumu la Ufalme wa Uingereza ni nini nchini Australia?
13/09/2022 Duración: 09minAustralia inadumisha uhusiano rasmi nawa hisia na ufalme wa Uingereza, kama urithi wa ukoloni wa Uingereza.