Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 118:21:30
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Wafanyakazi wako tayari kuwasili Australia kujaza mapengo ya ajira
04/09/2022 Duración: 07minSerikali ya shirikisho imesema ita harakisha ujio wa wafanyakazi kutoka visiwa vya Pasifiki nchini Australia, kwa ajili yaku shughulikia uhaba mkubwa wa wafanyakazi katika sekta ya kilimo.
-
Taarifa ya Habari 4 Septemba 2022
04/09/2022 Duración: 18minMpango wa chama cha Labor kuzuia waajiri, kufuta makubaliano ya ajira yakasirisha upinzani wa shirikisho.
-
Emma: "Nilipelekwa mahakamani kwa sababu ya nyumba yaku kodi"
01/09/2022 Duración: 12minWanachama wengi wa jamii zawa Afrika wanao ishi Australia, wamepitia uzoefu wakukosa nyumba za kodi zinazo faa familia zao.
-
SBS Swahili Mubashara 30 Agosti 2022
01/09/2022 Duración: 53minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Liverpool yatoa kichapo chakihistoria
31/08/2022 Duración: 11minLigi kuu ya soka ya Uingereza huvutia mamilioni yamashabiki kote duniani.
-
Taarifa ya Habari 30 Agosti 2022
30/08/2022 Duración: 19minSerikali ya shirikisho itaendelea na mpango wamakato ya kodi, kwa wanao pokea mishahara mikubwa, licha ya ukosoaji mkali kutoka bungeni.
-
Simamisha mzunguko wa vurugu, kuwa mfano chanya
30/08/2022 Duración: 13minNi mara ngapi tumesikia usemi kuwa, “wavulana watakuwa wavulana” au “ni sawa, alifanya hivyo kwa sababu anakupenda”, kuhusu tabia za kukosa heshima au vurugu dhidi ya wasichana au wanawake?
-
Taarifa ya Habari 28 Agosti 2022
28/08/2022 Duración: 16minSwala la afya laendelea kuwa hoja mhimu katika kampeni za uchaguzi wa Victoria, serikali ya jimbo hilo kulipa karo ya wanafunzi wa uuguzi.
-
Utofauti waleta sauti mpya
26/08/2022 Duración: 05minHip hop na muziki wa Drill imekuwa maarufu katika miaka ya hivi karibuni nchini Australia na, wasanii nchini watashiriki katika tamasha itakayo andaliwa katika kitongoji cha Sydney chenye tamaduni nyingi cha Parramatta.
-
SBS Swahili Mubashara 23 Agosti 2022
25/08/2022 Duración: 53minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Taarifa ya Habari 23 Agosti 2022
23/08/2022 Duración: 16minBaraza la mawaziri la shirikisho la agiza uchunguzi kwa jinsi, waziri mkuu wa zamani alijiteua kusimamia wizara kadhaa.
-
Je! Azimio One Kenya watafanikiwa kubatilisha matokeo ya uchaguzi mkuu?
23/08/2022 Duración: 07minMrengo wakisiasa wa Azimio One Kenya unajiandaa kuwasilisha ombi lakubatilisha matokeo ya uchaguzi mkuu nchini humo.
-
Waendesha magari kukabiliwa kwa ongezeko ya bei ya mafuta baada ya makato yamuda ya kodi ya mafuta kuisha
22/08/2022 Duración: 05minMoja ya hatua ambayo imesaidia kupunguza gharama ya maisha, nikupunguzwa mara mbili kwa muda kwa kodi ya petroli.
-
Taarifa ya Habari 21 Agosti 2022
21/08/2022 Duración: 16minBaadhi ya mashirika yanayo toa huduma za ajira nchini Australia kwa walemavu kufungwa.
-
SBS Swahili Mubashara 16 Agosti 2022
18/08/2022 Duración: 53minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Je! nini kitafuata baada ya Raila kushindwa tena katika uchaguzi mkuu?
18/08/2022 Duración: 22minKinara wa mrengo wa Azimio One Kenya Raila Odinga, amewania urais mara tano bila mafanikio.
-
Jinsi yakupata msaada mpendwa wako anapokuwa na uraibu wa kamari
17/08/2022 Duración: 12minHakuna tiba kwa suala la uraibu wa kucheza kamari.
-
Taarifa ya Habari 16 Agosti 2022
16/08/2022 Duración: 17minTaarifa za waziri mkuu wa zamani kujiapisha kuwa waziri wa wizara kadhaa, zaendelea kuzua rabsha zakisiasa mjini Canberra.
-
Wakenya wasifu uwazi wa uchaguzi mkuu
15/08/2022 Duración: 10minNi nadra kwa tume ya uchaguzi ya Kenya, kusifiwa kwa jinsi ilivyo simamia uchaguzi mkuu.
-
Chris: "Matokeo yote ya uchaguzi hubandikwa kwenye milango ya vituo vyakupigia kura"
15/08/2022 Duración: 08minWakenya kote duniani, wame elezea hisia zao zakuto ridhishwa na kasi yamatangazo ya matokeo ya uchaguzi wa urais.